kilombavita · @kilombavita
212 followers · 653 posts · Server rage.love

archive.org/details/kutongwa-k

Kutongwa kwaDedan Kimathi by Mĩcere Gĩthae Mũgo; Ngũgĩ wa Thiong'o; I. K. Takawira

Topics
, , , ,

ZPH Plays for Schools Series

#chiShona #DedanKimathi #kenya #tiyeta #nhoroondo

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/mzalendo-k

Mzalendo Kimathi by Mîcere Gîthae Mũgo; Ngũgĩ wa Thiong'o; Raphael Kahaso

Topics
, , , , , , , , , , , ,

"Yamesemwa na kuandikwa mengi juu ya kiini cha mapambano ya Mau Mau na vikosi vya Wakoloni Waingereza. Lakini je, kiini hiki kimezungumiziwa vya kutosha katika fasihi ya Kenya? Ni kwa nini fasihi hii imewadunisha wazalendo na kuwafanya wasioweza kuiunda historia yao? Kwa nini waimbaji wetu Kenya hawajapata kuimba nyimbo za kuwasifu mashujaa kama Dedan Kimathi na ujasiri wao? Historia na matendo waliyoyaandika wanahistoria na waandishi wengine ni vya nani?"

#DedanKimathi #maumau #kenya #Milkiyauingereza #Milkiyabritania #ukoloni #tamthilia #tamthiliya #kujikomboakitaifa #vita #historia #historiayaKenya #Kiswahili

Last updated 2 years ago