I finished it last night. Now that I can compare my experience with it to the Spanish one, I think that Language Transfer (LT) is an effective #LanguageLearning resource insofar as it methodically introduces and provides opportunities to practice using various structures, but it is not useful for speaking and listening comprehension because of its reliance on non-native speech.
Referencing the Spanish course, I said before (i.e. two months ago) that I thought a complete beginner would come away with a “solid foundation” in the language. Being in that boat with Swahili, I think it’s a fair assessment. LT doesn’t teach much vocabulary, so I’m constantly looking things up,* but I know (or can make educated guesses about) how to use them, which steadily narrows the gap between what I can say and what I want to say.
I still think that ignoring the advice to avoid writing things down is worthwhile. Even if I’m unlikely to revisit my notes, not taking any would have made information retention much more difficult.
*I’ve primarily been using mobiTUKI (https://swahili-dictionary.com).
Leo ni siku ya Dunia ya Lugha ya Kiswahili. Kama wahandisi, wanasayansi, watafiti na vijana chipukizi nawasihi mtumia akili unde kutatua shida za bara la Afrika ili kuboresha maisha ya afya ya watu, uchukuzi, masomo, ukulima, mawasiliano, biashara, na uchumi wetu.
Je "#ArtificialIntelligence", "#DeepLearning", na "#MachineLearning" nini kwa Lugha ya #Kiswahili?
#kiswahililanguageday #kiswahilikitukuzwe #kiswahiliday #Kiswahili #machinelearning #deeplearning #artificialintelligence
Leo ni siku ya lugha ya kiswahili duniani.
Did you know there are some Swahili words originating from Europe?
Kwa mfano: Shule, Bendera, meza...
#Kiswahili #Swahili https://t.co/E4midy95oF
🐦🔗: https://n.respublicae.eu/EUinKenya/status/1677286856768069632
3/
A più di cinquant'anni dall'indipendenza di gran parte degli Stati africani, poche* lingue nazionali sono state elevate al rango di lingue ufficiali: le lingue nazionali della #GuineaConakry e del #Sudafrica; il #kiswahili in #Tanzania il #malgascio in #Madagascar; il #sango in #RepubblicaCentrafricana; il #kirundi in Burundi; il #kinyarwanda in #Rwanda, l'#amarico in #Etiopia, il #tigrino in #Eritrea, il #somalo in #Somalia e l'arabo in #Algeria, #Marocco, #Tunisia, #Libia e #Egitto.
#guineaconakry #sudafrica #Kiswahili #tanzania #malgascio #madagascar #sango #RepubblicaCentrafricana #kirundi #kinyarwanda #rwanda #amarico #etiopia #tigrino #eritrea #somalo #somalia #algeria #marocco #tunisia #libia #egitto
1/
La differenza tra lingue nazionali e lingue ufficiali
L'espressione "lingua nazionale" si riferisce, in alcuni paesi, a quelle lingue locali che svolgono un'importante funzione veicolare (#wolof in #Senegal, #hausa e #zarma in #Niger, #Kikongo, #Kiswahili, #Lingala e #Ciluba in #Congo-Kinshasa), mentre, in altri paesi come il #Benin o il #Camerun, indica tutte le lingue indigene in contrapposizione alle lingue straniere ereditate dalla colonizzazione.
#wolof #senegal #Hausa #zarma #niger #Kikongo #Kiswahili #Lingala #ciluba #congo #benin #camerun
https://archive.org/details/fasihi-simulizi
Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili by Assumpta K. Matei
Topics
#fasihisimulizi, #Kiswahili, #shuleyaupili, #fasihi, #malezi, #vitabuvyarejea
"Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.
Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.
Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.
Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."
#fasihisimulizi #Kiswahili #shuleyaupili #fasihi #malezi #vitabuvyarejea
https://archive.org/details/kenya-kiswahili
Kiswahili na Utaifa Nchini Kenya by Clara Momanyi; Kimani Njogu; Mwenda Mukuthuria; Mwenda Mbatiah; Prisca Jerono; Edwin W. Masinde; Kiarie Wa'Njogu; Meg Arenberg; Peter Githinji; Pamela Muhadia Ngugi; Miriam Osore; Charlotte Ryanga; Naomi L. Shitemi; Anna M. Kishe; Steven Elisamia Mrikaria; Mwanakombo Mohamed Hassan
Topics
#Kiswahili, #Kenya, #lugha, #utaifa, #isimu, #isimujamii, #uanuwaiwalugha
"Baada ya vurugu la kisisasa la 2007/2008, ilidhihirika wazi kwamba pana haja ya Kuimarishautangamano na Utaifa nchini kenya. Kenya imekua ikiimarisha dola lakini viongozi wake bado hawajaonekana kujitolea ili kujenga utangamano ni kupitia lugha ya taifa."
#Kiswahili #kenya #lugha #utaifa #isimu #isimujamii #uanuwaiwalugha
https://archive.org/details/njia-panda
Njia Panda by Ngũgĩ wa Thiong'o; John Ndeti Somba
Topics
#Kiswahili, #Kenya, #riwaya, #ukoloni, #ukristo
"Njia panda ni tafsiri ya Kiswahili ya The River Between, kilichoandikwa na mwandishi maarufu Mkenya, Ngugi wa Thiong'o."
#Kiswahili #kenya #riwaya #ukoloni #ukristo
https://archive.org/details/Wataveta
Historia Na Utamaduni Wa Wataveta by Clara Momanyi
Topics
#Kiswahili, #Wataveta, #historia, #jamiizaKiafrikaKiasili, #utamaduni
"Kitabu hiki ni kurunzi inayoangaza mila na desturi za Wataveta na kuthibitisha kwamba mwacha mila hakika ni mtumwa."
#Kiswahili #wataveta #historia #jamiizaKiafrikaKiasili #utamaduni
https://archive.org/details/chozi-la-heri
Chozi la Heri by Assumpta K. Matei
Topics
#Kiswahili, #riwaya, #fasihi
"Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini."
Kusadikika: Nchi Iliyo Angani by Shaaban Robert; Ruth Yudelowitz
Topics
#Kiswahili, #hadithi, #fasihi, #fasihiyaKiswahili, #fasihiyaTanzania
"Kusadikika ni nchi ambayo kuwako kwake hufikirika kwa mawazo tu."
#Kiswahili #hadithi #fasihi #fasihiyakiswahili #fasihiyatanzania
https://archive.org/details/kaburi-bila-msalaba
Kaburi Bila Msalaba: Hadithi Ya Vita Vya Mau Mau by P. M. Kareithi; Terry Hirst
Topics
#MauMau, #Kenya, #historia, #Kiswahili, #ukoloni, #milkiyauingereza, #milkiyabritania, #vita, #kujikomboakitaifa, #mapambano, #hadithi
"Kila msomaji amalizae kusoma hadithi hii hataacha kujiuliza nafsi yake kama anatimiza wajibu wake katika ujenzi wa taifa hili."
#maumau #kenya #historia #Kiswahili #ukoloni #Milkiyauingereza #Milkiyabritania #vita #kujikomboakitaifa #mapambano #hadithi
https://archive.org/details/mzee-kikwazo
Majuto ya Mzee Kikwazo by Leah Mgonja; Robert Kambo
Topics
#Kiswahili, #epidemiki, #ugonjwa, #afya, #ngano, #hadithi
"Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kijiji cha Wasiojua kinajipata katika masikitiko. Watu wameanza kupofuka. Wataalamu wanashauri hatua fulani zichukuliwe ji kumaliza janga hili. Wanakijiji wanaanza kuzingatia mapendekezo ya wataalamu. Hata hivyo, kuna mzee anayekataa katakata kuufuata ushauri wa wataalamu. Je, Mzee Kikwazo ataweza kujinusuru kutokana na shida zilizoko kijijini mwao? Bila shaka hadithi hii itakufunza mengi."
#Kiswahili #epidemiki #ugonjwa #afya #ngano #hadithi
https://archive.org/details/kuwa-mwafrika
Kuwa Mwafrika: Kugundua tera Njia za sili za (Utu) Unhu-Ubuntu-Botho na Kuwa Binadamu by Mandivamba Rukuni; Martha Qorro
Topics
#CentreforAdvancedStudiesofAfricanSociety, #kitabu, #Kiswahili, #Afrika, #utamaduni
"Kitabu hiki ni kwa heshima ya wazazi wangu, familia yangu, ukoo wangu wa Rozvi, na heshima ya pekee kwa mizimu ya Waafrika, ambao busara zao tunazihitaji sana sasa, ili kuijenga tena nchi yetu, Afrika"
#CentreforAdvancedStudiesofAfricanSociety #kitabu #Kiswahili #afrika #utamaduni
https://archive.org/details/kamusi-ya-tiba
Kamusi ya Tiba by A.M.A. Mwita; H.J.M. Mwamsoko
Topics
#Kiswahili, #tiba, #kamusi, #Kiingereza, #afya, #sayansi, #fiziolojia
"Kamusi ya Tiba ni chapisho la aina yake katika Kiswahili linalohusu fani ya tiba."
#Kiswahili #tiba #kamusi #Kiingereza #afya #sayansi #fiziolojia
Svahila proverbo (67)
Asiyeonyeka alipanda mtumbui wa mfinyanzi.
Tiu kiu ne estis konsilita iris en ceramika boato.
#Swahili
#Kiswahili
#MethaliZaKiswahili
#Esperanto
#Kiesperanto
#SvahilaProverbaro
#svahilaproverbaro #kiesperanto #esperanto #methalizakiswahili #Kiswahili #swahili
Proverbe swahili (67)
Asiyeonyeka alipanda mtumbui wa mfinyanzi.
Celui qui n'a pas été conseillé est monté dans une barque en terre cuite.
#swahili
#Kiswahili
#Proverbes
#MethaliZaKiswahili
#ProverbesAfricains
#proverbesafricains #methalizakiswahili #proverbes #Kiswahili #swahili
Svahila proverbo (58)
Kukataa kujisaidia hakuzuii njaa kuuma
Rifuzi feki ne malhelpas vin suferi malsaton
#Swahili
#Kiswahili
#MethaliZaKiswahili
#Esperanto
#Kiesperanto
#SvahilaProverbaro
#svahilaproverbaro #kiesperanto #esperanto #methalizakiswahili #Kiswahili #swahili
Proverbe swahili (58)
Kukataa kujisaidia hakuzuii njaa kuuma.
Te retenir de déféquer ne t'empêchera pas d'avoir faim.
#swahili
#Kiswahili
#Proverbes
#MethaliZaKiswahili
#ProverbesAfricains
#proverbesafricains #methalizakiswahili #proverbes #Kiswahili #swahili
Svahila proverbo (57)
Mwisho wa ubaya ni aibu.
La fino de la malbono estas honto.
#Swahili
#Kiswahili
#MethaliZaKiswahili
#Esperanto
#Kiesperanto
#SvahilaProverbaro
#svahilaproverbaro #kiesperanto #esperanto #methalizakiswahili #Kiswahili #swahili