https://archive.org/details/mzee-kikwazo
Majuto ya Mzee Kikwazo by Leah Mgonja; Robert Kambo
Topics
#Kiswahili, #epidemiki, #ugonjwa, #afya, #ngano, #hadithi
"Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kijiji cha Wasiojua kinajipata katika masikitiko. Watu wameanza kupofuka. Wataalamu wanashauri hatua fulani zichukuliwe ji kumaliza janga hili. Wanakijiji wanaanza kuzingatia mapendekezo ya wataalamu. Hata hivyo, kuna mzee anayekataa katakata kuufuata ushauri wa wataalamu. Je, Mzee Kikwazo ataweza kujinusuru kutokana na shida zilizoko kijijini mwao? Bila shaka hadithi hii itakufunza mengi."
#Kiswahili #epidemiki #ugonjwa #afya #ngano #hadithi