Leo ni siku ya Dunia ya Lugha ya Kiswahili. Kama wahandisi, wanasayansi, watafiti na vijana chipukizi nawasihi mtumia akili unde kutatua shida za bara la Afrika ili kuboresha maisha ya afya ya watu, uchukuzi, masomo, ukulima, mawasiliano, biashara, na uchumi wetu.
Je "#ArtificialIntelligence", "#DeepLearning", na "#MachineLearning" nini kwa Lugha ya #Kiswahili?
#kiswahililanguageday #kiswahilikitukuzwe #kiswahiliday #Kiswahili #machinelearning #deeplearning #artificialintelligence