kilombavita · @kilombavita
216 followers · 800 posts · Server rage.love

archive.org/details/fasihi-sim

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili by Assumpta K. Matei

Topics
, , , , ,

"Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.

Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.

Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.

Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."

#fasihisimulizi #Kiswahili #shuleyaupili #fasihi #malezi #vitabuvyarejea

Last updated 1 year ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/malonga-3i

Three in One : Ikinyarwanda, Kiswahili and English by Pacifique Malonga

Topics
, , , , , , , , , , , , ,

IGICE CYA MBERE : Amagambo rusange
SEHEMU YA KWANZA : Maneno ya msingi
PART ONE : Basic words

IGICE CYA KABILI : Ikibonezamvugo
SEHEMU YA PILI : Sarufi
PART TWO : Grammar

IGICE CYA GATATU : Gusoma, Gusubiza n'Imigani
SEHEMU YA TATU : Kusoma, Kujibu Maswali na Methali
PART THREE : Reading, Comprehension and Idiomatic expressions

#Ikinyarwanda #Kinyarwanda #Kiswahili #Swahili #Igiswahili #Igiswahiri #Kiingereza #english #Icyongereza #ururimi #lugha #languagelearning #pedagogy #malezi

Last updated 2 years ago