https://archive.org/details/harakati-ya-kitabaka-katika-afrika
Harakati ya Kitabaka Katika Afrika by Kwame Nkrumah; M.W.K. Chiume
Topics
#Afrika, #ukoloni, #usoshalisti, #ujamaa, #harakatizakitabaka, #mapambanoyakitabaka, #ukolonimamboleo, #ubepari, #ubeberu, #tabaka, #rangi, #ubaguziwarangi, #Kiswahili
"Harakati ya Kitabaka Katika Afrika ni tafsiri ya kitabu kiitwacho Class Struggle in Africa, kilichoandikwa na hayati Kwame Nkrumah. Katika kitabu hiki anaonyesha kwa ufasaha kuwa pamoja na ukoloni, historia ya Afrika ni historia ya mapambano kati ya yanyonyaji na wanaonyonywa. Ameonyesha pia kuwa ushindi wa siasa ya uhuru na ujamaa utapatikana kutokana na ushindi wa tabaka la wafanyakazi ina wakulima dhidi ya tabaka la wonyonyaji wa ndani na wa nje ya Afrika"
#afrika #ukoloni #usoshalisti #ujamaa #harakatizakitabaka #mapambanoyakitabaka #ukolonimamboleo #ubepari #ubeberu #tabaka #rangi #ubaguziwarangi #Kiswahili
https://archive.org/details/huduma-katika-utumisihi
huduma katika utumisihi by Aaron A. Banda
Topics
#watumishi, #waajiri, #waajiriwa, #ubepari, #viwanda, #kazi, #mapampano, #mizozo
"Kitabu hiki kinagusia baadhi zote mbili za watumishi, yaani wale wanaoongoza na wale wanaoongozwa. Shabaha ya kitabu hiki ni kukamilisha hali ya utendaji kazi kwa maarifa na hekima zaidi najinsi ya kugundua ni nini waajiri na waajiriwa wanapaswa kufanya, na yapi waache kufanya ili waweze kuikabiri migogoro yao, kwani wao wote wanahusika na tatatizo mengi yanayotokea katika viwanda."
#watumishi #waajiri #waajiriwa #ubepari #viwanda #kazi #mapampano #mizozo
https://archive.org/details/mapambano
Historia ya Mapambano ya Mwafrika by H. Mapunda; D.N. Mwakawago
Topics
#historia, #Afrika, #Waafrika, #uhamiaji, #uvamizi, #Mfecane, #ukoloni, #maendeleo, #ubepari, #ubeberu, #siasa, #ujenziwamataifa, #kujikomboakitaifa, #Uhuru, #jamiizaKiafrikaKiasili
Chapa ya Tatu
#historia #afrika #Waafrika #uhamiaji #uvamizi #Mfecane #ukoloni #maendeleo #ubepari #ubeberu #siasa #ujenziwamataifa #kujikomboakitaifa #Uhuru #jamiizaKiafrikaKiasili
https://archive.org/details/ubepari
Ubepari Ni Nini? by Husein Abdul-Razak; A. Buzuyev
Topics #ubepari, #ProgressPublishers, #ukomunisti, #usoshalisti, #marxism, #capitalism
“Misingi ya maarifa ya kijamii-kisiasa
Mfululizo wa vitabu kuhusu misingi ya maarifa ya kijamii-kisiasa:
Maongozi ya Kinadharia ya Marx na Lenin Ni Nini?
Nadharia ya Kisiasa Kuhusu Uchumi Ni Nini?
Falsafa Ni Nini?
Ukomunisti wa Kisayansi Ni Nini?
Uyakinifu wa Kidialektiki Ni Nini?
Uyakinifu wa Kihistoria Ni Nini?
Ubepari Ni Nini?
Usoshalisti Ni Nini?
Ukomunisti Ni Nini?
Kazi Ni Nini?
Thamani ya Ziada Ni Nini?
Umilikaji Mali Ni Nini?
Matabaka na Mapambano ya Kitabaka Ni Nini?
Chama Ni Nini?
Serikali Ni Nini?
Mapinduzi Ni Nini?
Kipindi cha Ukiukaji Ni Nini?
Utawala wa Watu Wafanyao Kazi Ni Nini?
Utaratibu wa Kisoshalisti wa Dunia Ni Nini?”
(several blurry pages which may affect readability.)
#ubepari #ProgressPublishers #ukomunisti #usoshalisti #marxism #capitalism