kilombavita · @kilombavita
222 followers · 828 posts · Server rage.love

archive.org/details/maji-maji

Kumbukumbu za Vita vya Maji Maji: Sehemu ya Kwanza, 1905-1907 by G. C. K. Gwassa

Topics
, , , , ,

Chama cha Historia cha Tanzania Kijitabu cha Kiswahili cha Kwanza

#vitavyamajimaji #majimaji #historiayatanzania #afrikayamasharikiyakijerumani #ukoloni #dolalaujerumani

Last updated 1 year ago

kilombavita · @kilombavita
218 followers · 782 posts · Server rage.love

archive.org/details/njia-panda

Njia Panda by Ngũgĩ wa Thiong'o; John Ndeti Somba

Topics
, , , ,

"Njia panda ni tafsiri ya Kiswahili ya The River Between, kilichoandikwa na mwandishi maarufu Mkenya, Ngugi wa Thiong'o."

#Kiswahili #kenya #riwaya #ukoloni #ukristo

Last updated 1 year ago

kilombavita · @kilombavita
212 followers · 704 posts · Server rage.love

archive.org/details/kaburi-bil

Kaburi Bila Msalaba: Hadithi Ya Vita Vya Mau Mau by P. M. Kareithi; Terry Hirst

Topics
, , , , , , , , , ,

"Kila msomaji amalizae kusoma hadithi hii hataacha kujiuliza nafsi yake kama anatimiza wajibu wake katika ujenzi wa taifa hili."

#maumau #kenya #historia #Kiswahili #ukoloni #Milkiyauingereza #Milkiyabritania #vita #kujikomboakitaifa #mapambano #hadithi

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/viumbe-wal

Viumbe Waliolaaniwa by Franz Fanon; Frantz Fanon; Gabriel Ruhumbika; Clement Maganga; Jean-Paul Sartre; Kiswahili

Topics
, , , , , , , , , ,

Yaliyomo

Dibaji ya Jean-Paul Sartre
1. Kuhusu utumiaji nguvu
2. Mwamko wa dharura: Fahari yake na hasara zake
3. Matatizo ya mwamko wa kitaifa
4. Kuhusu utamaduni wa kitaifa
5. Vita vya kikoloni na mogonjwa ya ubongo
6. Neno la mwisho
Vielelezo

#ukoloni #kujikomboakitaifa #mwamkowakitaifa #vita #mapinduzi #elimunafsia #saikolojia #mataifa #mapambano #ubaguziwarangi #ujenziwamataifa

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/harakati-y

Harakati ya Kitabaka Katika Afrika by Kwame Nkrumah; M.W.K. Chiume

Topics
, , , , , , , , , , , ,

"Harakati ya Kitabaka Katika Afrika ni tafsiri ya kitabu kiitwacho Class Struggle in Africa, kilichoandikwa na hayati Kwame Nkrumah. Katika kitabu hiki anaonyesha kwa ufasaha kuwa pamoja na ukoloni, historia ya Afrika ni historia ya mapambano kati ya yanyonyaji na wanaonyonywa. Ameonyesha pia kuwa ushindi wa siasa ya uhuru na ujamaa utapatikana kutokana na ushindi wa tabaka la wafanyakazi ina wakulima dhidi ya tabaka la wonyonyaji wa ndani na wa nje ya Afrika"

#afrika #ukoloni #usoshalisti #ujamaa #harakatizakitabaka #mapambanoyakitabaka #ukolonimamboleo #ubepari #ubeberu #tabaka #rangi #ubaguziwarangi #Kiswahili

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/mzalendo-k

Mzalendo Kimathi by Mîcere Gîthae Mũgo; Ngũgĩ wa Thiong'o; Raphael Kahaso

Topics
, , , , , , , , , , , ,

"Yamesemwa na kuandikwa mengi juu ya kiini cha mapambano ya Mau Mau na vikosi vya Wakoloni Waingereza. Lakini je, kiini hiki kimezungumiziwa vya kutosha katika fasihi ya Kenya? Ni kwa nini fasihi hii imewadunisha wazalendo na kuwafanya wasioweza kuiunda historia yao? Kwa nini waimbaji wetu Kenya hawajapata kuimba nyimbo za kuwasifu mashujaa kama Dedan Kimathi na ujasiri wao? Historia na matendo waliyoyaandika wanahistoria na waandishi wengine ni vya nani?"

#DedanKimathi #maumau #kenya #Milkiyauingereza #Milkiyabritania #ukoloni #tamthilia #tamthiliya #kujikomboakitaifa #vita #historia #historiayaKenya #Kiswahili

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love
kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love