kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/harakati-y

Harakati ya Kitabaka Katika Afrika by Kwame Nkrumah; M.W.K. Chiume

Topics
, , , , , , , , , , , ,

"Harakati ya Kitabaka Katika Afrika ni tafsiri ya kitabu kiitwacho Class Struggle in Africa, kilichoandikwa na hayati Kwame Nkrumah. Katika kitabu hiki anaonyesha kwa ufasaha kuwa pamoja na ukoloni, historia ya Afrika ni historia ya mapambano kati ya yanyonyaji na wanaonyonywa. Ameonyesha pia kuwa ushindi wa siasa ya uhuru na ujamaa utapatikana kutokana na ushindi wa tabaka la wafanyakazi ina wakulima dhidi ya tabaka la wonyonyaji wa ndani na wa nje ya Afrika"

#afrika #ukoloni #usoshalisti #ujamaa #harakatizakitabaka #mapambanoyakitabaka #ukolonimamboleo #ubepari #ubeberu #tabaka #rangi #ubaguziwarangi #Kiswahili

Last updated 2 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/ubepari

Ubepari Ni Nini? by Husein Abdul-Razak; A. Buzuyev

Topics , , , , ,

“Misingi ya maarifa ya kijamii-kisiasa

Mfululizo wa vitabu kuhusu misingi ya maarifa ya kijamii-kisiasa:

Maongozi ya Kinadharia ya Marx na Lenin Ni Nini?
Nadharia ya Kisiasa Kuhusu Uchumi Ni Nini?
Falsafa Ni Nini?
Ukomunisti wa Kisayansi Ni Nini?
Uyakinifu wa Kidialektiki Ni Nini?
Uyakinifu wa Kihistoria Ni Nini?
Ubepari Ni Nini?
Usoshalisti Ni Nini?
Ukomunisti Ni Nini?
Kazi Ni Nini?
Thamani ya Ziada Ni Nini?
Umilikaji Mali Ni Nini?
Matabaka na Mapambano ya Kitabaka Ni Nini?
Chama Ni Nini?
Serikali Ni Nini?
Mapinduzi Ni Nini?
Kipindi cha Ukiukaji Ni Nini?
Utawala wa Watu Wafanyao Kazi Ni Nini?
Utaratibu wa Kisoshalisti wa Dunia Ni Nini?”

(several blurry pages which may affect readability.)

#ubepari #ProgressPublishers #ukomunisti #usoshalisti #marxism #capitalism

Last updated 3 years ago

kilombavita · @kilombavita
208 followers · 539 posts · Server rage.love

archive.org/details/usoshalist

Nani Aliyejenga Usoshalisti katika Urusi?
by Vladimir Makarenko; I. Malkovskaya

Topics , , , , , , , , , , , ,

“Kitabu hiki kinamjulisha msomaji juu ya hatua za mwanzo zilizopigwa na Utawala wa Kisovieti katika kujenga jamii mpya. Kwa mfano, kinaelezea jinsi ilivyoandaliwa mipango ya kuwajibiza maadui wa utawala wa Kisovieti, jinsi kulivyoanza kufanywa ukiukaji kuingia katika ujenzi wa amani, jinsi kulivyoendeshwa kampeni ya nidhamu ya kazi, kulivyoanzishwa upangaji wa uchumi, kulivyokomeshwa hali ya kutokua kusoma na kuandika, pia jinsi kulivyofunzwa wataalamu wa kwanza kwa ajili ya uzalishaji mali wa kisoshalisti. Nini maana ya mjumuiko na jinsi unavyomwathiri binadamu. Kadhalika jinsi kuliyvotekelezwa jukumu la kumwadilisha bindamu mwenye hulka mpya.”

(missing page 4)

#ProgressPublishers #ukomunisti #socialism #usoshalisti #Urusi #russia #sovietunion #ussr #history #soviethistory #russianhistory #historia #historiayaurusi

Last updated 3 years ago