https://archive.org/details/kenya-kiswahili
Kiswahili na Utaifa Nchini Kenya by Clara Momanyi; Kimani Njogu; Mwenda Mukuthuria; Mwenda Mbatiah; Prisca Jerono; Edwin W. Masinde; Kiarie Wa'Njogu; Meg Arenberg; Peter Githinji; Pamela Muhadia Ngugi; Miriam Osore; Charlotte Ryanga; Naomi L. Shitemi; Anna M. Kishe; Steven Elisamia Mrikaria; Mwanakombo Mohamed Hassan
Topics
#Kiswahili, #Kenya, #lugha, #utaifa, #isimu, #isimujamii, #uanuwaiwalugha
"Baada ya vurugu la kisisasa la 2007/2008, ilidhihirika wazi kwamba pana haja ya Kuimarishautangamano na Utaifa nchini kenya. Kenya imekua ikiimarisha dola lakini viongozi wake bado hawajaonekana kujitolea ili kujenga utangamano ni kupitia lugha ya taifa."
#Kiswahili #kenya #lugha #utaifa #isimu #isimujamii #uanuwaiwalugha